Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2018

furaha

Furaha ni mambo au jambo ambalo ni muhimu sana kwenye jamii Yetu, Jamii zetu za kiafrika zinahitaji faraja zaidi kuliko chochote kile, Hakika furaha ni thamani,ni Mali,ni kila kitu kwenye maisha ya mwanadamu, Furaha inapotoweka basis hakuna kingine zaidi ya kupandikiza chuki,masimango,masengenyo,na unafiki ndani Yetu hakika jamii zetu za kiafrika zinahitaji furaha zaidi kuliko kingine. Tufurahi