furaha

Furaha ni mambo au jambo ambalo ni muhimu sana kwenye jamii Yetu,
Jamii zetu za kiafrika zinahitaji faraja zaidi kuliko chochote kile,
Hakika furaha ni thamani,ni Mali,ni kila kitu kwenye maisha ya mwanadamu,
Furaha inapotoweka basis hakuna kingine zaidi ya kupandikiza chuki,masimango,masengenyo,na unafiki ndani Yetu hakika jamii zetu za kiafrika zinahitaji furaha zaidi kuliko kingine.
Tufurahi

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Bin bin pyramid

Japan vs costa rica

MANUEL DE LA SUPRÉMATIE BLANCHE