Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Oktoba, 2021

Adamu

Picha
  Dhana kwamba Mungu alimuumba Adamu pekee kwenye bustani ya edeni Ina UKAKASI KIDOGO. Kama kweli vitabu vyote vitakatifu vinakiri kuwa Mungu Hana dosari,NI mkamilifu na mkuu,mwenye utimilifu na utukufu Basi sidhani Kama yeye Mungu angeweza kusahau kiasi hicho.      Tuseme haya Mungu alimuumba adamu tu duniani,then what? For what purpose? To do what exactly? Kucheza na nyani? Kurukaruka na kunguru? Kula n'a kulala tu? Kuangalia jua linapotoka n'a kuzama? Je majibu ta haya ni yapi?      Kuna sehemu inasema nendeni,mkazae na mkaongezeke mkaijaze duniani,then adamu angetaga? Usitake kuniambia kuwa Mungu aumbe wanyama wote wawili wawili afu adamu awe peke yake tu,maana Hakuna mahali pameandikwa wanyama waliumbwa madume tu kama adamu.Sasa na miti uimbwe,itoe mbegu,izae matunda na vyote hivyo ni kuongezeka afu Mungu asahau kweli kuhusu adamu? Basi tuwaze kwa sauti vitu Vya muhimu kwa Mungu huenda ikawa sio binadamu ni hiyo miti n'a wanyama Basi ndio maana al...