Wazo ni nini? Ni nini maana ya wazo? Kwanini kuwaza?
Wazo ni mjumuiko/mkusanyiko wa fikra baada ya kuhisi jambo,kusikia jambo,kuona jambo,kuonja,kuguswa au kugusa kitu.
Tunafikiri kwasababu tunahitaji kupata majibu au matokeo ya jambo lililoonekana,au kusikika,au kuhisi,au kwa ladha yake,na majibu au matokea sio lazima yawe chanya au hasi kila mmoja anahiyari au ulazima juu ya fikra zake mwenyewe
Maoni