Isabella-sehemu ya 04
Sauti ya nguvu na ukali ilisikika ikitoka ndani na Mtoto akilia kwa uchungu huku akimuita mama upo wpi,huku sauti ya Mtoto ikisikika akilia ghafla geti lilifunguliwa kwa Sauti ya kubamiza na ghafla akaonekana Mtoto mdogo wakike akirushwa nje ya geti huku wakiume akjmfuatia na kumnyanyua Dada yake na kumodolea macho alowatoa nje ya geti,huku akiwahimiza wapotee mbele ya macho yake waende shuleni,watoto wawili wadogo kabisa hao wakiwa hawajui lakufanya nilisikia sauti ya yule wakiume akisema shangazi bus LA shule halipo. Kumbe ni Lucy na Alex ndo walikuwa wakinyanyaswa na shangazi yao huyo aloachiwa kuwalea pamoja na kusimamia Mali mbalimbali za baba yao.ilisikika sauti ikisema ( Bus lashule halijaja kwani baba yako yupo hapa awalipie hela ya bus LA kuwapeleka shuleni?) Oh kumbe ni shangazi ndo alikuwa akiwajibu watoto aloachiwa kuwalea na kuwatunzia Mali za baba yao ili wakikua wakaidhi.watoto wale walianza kuondoka taratibu kwa unyonge Alex akiwa amem...