Isabella-sehemu ya 03

     Muda ulivyozidi kwenda Isabella alizidi kuwa mnyonge na mkosefu wa furaha,akiwa dhoofu wa hali na mwenye huzuni kubwa kila Mara alikuwa akijitenaga na kukaa pekee yake huku akilia,alizidi kuwa mwenye hali tete kimasomo na hata kiafya kwani alipungua mwili na kupauka haswaa baada ya kuwa Amalia sana usiku na kula kidogo sana.Hata ngozi yake nyororo na laini ilianza kuharibika kutokana na Julia na kuchoka kimawaza.Mwalimu wa afya shuleni aligundua hili na kuanza kumpatia wasaa wa kumshauri na kumliwaza kwa kutoka naye wakati wa mapumziko ya mwisho wa wiki kwenda nayr sinema na kuzunguka katika sehemu mbalimbali za kumbukumbu.hata na hivyo haikumsaidia kwani alihitaji mapenzi zaidi na ukaribu wa watu Mara kwa Mara.
  Siku moja huzuni yake ilizidi zaidi haswa baada ya kuwa alizoea kuwaona baba na mama wakiwa wanakuja kumtembelea siku za kutembelewa shuleni.Simanzi na huzuni moyoni vilizidi alipowaona marafiki zake wakiwa na wazazi wao wakila na kufurahi kwapamoja huku yeye akiwa hana wa kumtembelewa wala wakumfariji.alikimbia mpaka nyuma ya madarasa na kuinama chini na kuanza kulia huku akiita mama upo wapi,baba upo wapi nimewakumbuka sana.ghafla alisikia sauti ikiita isabella alijifuta machozi na kugeuka alikuwa ni mwanafunzi mwenzie aliyeitwa alex:
Alex:kwanini unalia?
Isabella:silii
Alex:Mimi mwenyewe sina alokuja kwa ajili yangu 
Alex aliondoka na kukimbiaakimuacha isabella pekee isabella alizidi Julia haswaa baada ya kuona na alex amekimbia bila kujua alex alienda wapi Mara baada ya dakika chache alex alirudi akiwa ameficha mikono take kwa nyuma
Alex:crying baby
Isabella:am ain't crying I thought you left too
Alex:here you go
Alex alikuja na biscuit ya chocolet ambayo alienda kuinunua dukani alipoondoka na kumwacha isabella alipokuwa akilia.
Isabella:oh asante alex hakika nimempata rafiki
Alex:usijali we are friends right?
Isabella:of course
Walinyanyuka na kutembea bustani ya shule huku wakicheza kwa kukimbizana na wanafunzi wengine walishangaa kumuona isabella akifurahi na kucheka wakati haikuwa kawaida yake,walifanya vingi siku  hiyo na mpaka jioni ilivyoingia kwa kuwa ilikuwa ni siku  ya visiting shuleni na wazazi walikuwa wapo na watoto wao wakifurahi na kuzungumza

Itaendelea

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Bin bin pyramid

Japan vs costa rica

MANUEL DE LA SUPRÉMATIE BLANCHE