MAMBO MWANAMKE ASOYAPENDA KATIKA MAHUSIANO

Mwanamke hapendi haya.
Kuulizwa change ya chochote ambacho umempa hela akanunue.
Kuulizwa kuhusu mahusiano yake ya nyuma au yaliputa maana haya huwaacha na maumivu makubwa sana.
Kuona mwanaume wake amekaa tu hana anachokifanya hiki kitu huwa kinamuumiza sana mwanamke.
Kuchangia mapenzi na mwanamke ambaye hana mvuto kumzidi yeye,huona kwamba amezalilishwa.
Kuona mwenzie kapendeza kuliko yeye wakati wewe mwanaume wake upo tu unabung'a tu.
Kula chakula kinachofanana kila siku,hapendi na husononeka roho.
Kuona wenzie wanapendana wakati yeye kila Mara mnagombana na kulumbana.
Kuona marafiki zako wnafanikiwa halafu kila Mara upo pale pale haubadiliki japo tu kiakili 
Ulevi
Uvivu
Uchoyo
Na 
Ubahili.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Bin bin pyramid

Japan vs costa rica

MANUEL DE LA SUPRÉMATIE BLANCHE