Je Yesu ni Mungu kweli?

     Kumekuwa na mvutano mkubwa wa kidini na kidhehebu duniani na majibizano ya kwanini Yesu akawa ni Mungu,watu huamini Mungu ni mmoja mwenyewe nafsi tatu huku wengine wakiamini Mungu ni mmoja tu,watu wengi husema tu bila kuwa na ushahidi wa maneno matakatifu kuthibitisha na kuitetea imani yao kuwa Yesu kweli ni Mungu.
   Kumekuwa na mgawanyiko wa madhehebu mbalimbaki ya kidini na wengine wakitokea bila dhehebu lolote huku wengine wakiwa na makanisa binafsi hilo sio tatizo je wanamtambua Yesu kuwa Mungu? Je wanaushahidi wowote wa kibiblia ambao huonesha kuwa kweli yesu ni Mungu na Bwana na sio nabii kama dini nyingine zinavyodai?
   Leo nipo na ushahidi mdogo na mkubwa kwenu kuwa yesu ni Mungu,ni mfalme wa amani,ni mtawala wa milele,ni Mungu mwenyewe nguvu na mshauri wa amani....
Ukifungua kitabu cha nabii Isaya sura ya 9:6-7 inaushahidi tosha kwamba yesu ni Mungu na mfalme wa wafalme....
Isaya 9:6 Maana mtoto amezaliwa kwa ajili yetu,tumepewa mtoto wa kiume.Naye atapewa mamlaka ya kutawala Ataitwa "mshauri wa ajabu"
"Mungu mwenyewe nguvu"
"Baba wa milele"
"Mfalme wa amani"
7 Utawala wake utastawi daima,amani ya ufalme wake haitokoma.
Atachukua wadhifa wa mfalme Daudi na kutawala juu ya ufalme wake;ataustawisha na kuuimarisha,kwa haki na uadilifu,yangu sasa na hata milele.
Hayo atayafanya Mwenyezi -Mungu wa majeshi.
    Pia tukiangalia kitabu cha muinjili luka amemtaja kama mrithi wa kitu cha daudi
Kula 1:32-33 inasema hivi "yeye atakuwa mkubwa na ataitwa maana wa Mungu mkuu.Bwana Mungu atampa kitu cha mfalme Daudi,babu yake. 33 kwa hivyo atautawala ukoo wa yakobo milele,na ufalme wake hautakuwa na mwisho"
Kwa ushahidi huo wa vitabu vitakatifu vya agano la kale na agano jipya vinathibitisha kuwa yesu ni maana wa Mungu naye ni Mungu anayetawala milele yote ubarikiwe sana
Picha hii imetumika tu kama kielelezo tu maana watu hujifunza kwa vitendo na picha ubarikiwe sana

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Bin bin pyramid

Japan vs costa rica

MANUEL DE LA SUPRÉMATIE BLANCHE