JINSI YA KUIMARISHA MAPENZI

Watu wengi huishi mwenye mahusiano ambayo huwa kama mfu,ambayo kila Mara maisha huonekana magumu na yasoridhisha kwa kila mmoja.Ukweli ni kuwa mapenzi sio pesa ila pesa ina umuhimu wake mwenye mapenzi na wakati mwingine ni pesa ni msingi wa mapenzi ya watu ya walio wengi.
Kuna njia mbali mbali ambazo humfanya mtu afumu kwenye mahusiano na kumpenda alonaye kwa dhati,njia hizi zitakusaidia kuboresha na kukufanya uwe na furaha kwenye maisha yako.

1:Muamini Mpenzi wako:ukitaka kuwa na amani kwenye maisha ya mapenzi chagua kuamini hata kama hakuna namna,chagua kuamini tu maana ukiwa unampenda mtu lazima umuamini,usipomuamini kamwe hutokaa uwe na furaha na amani ya mapenzi.
2:Msikilize mpenzi wako:kila mmoja anatamani kuwa na mtu anayejali,kusikikiza tu ni kujali,kujali sio kununua vitu vya kifahari,ni kusikiliza,wakati mwingine kusikiliza ni zaidi ya dawa na tiba kwa mtu,wakati mwingine hata kama mpenzi wako anasema jambo linalokuumiza vipi angalau chagua kusikiliza.
3:Jitolee Muda Wako:Hakika ukiwa na mtu wa kuwa nawe na kukufariji wakati upo na uhitaji kila jambo unaona umekamilisha,mapenzi ya furaha ni pale unapojitolea muda wako kuwa na mtu na kuwa nawe na kumfariji na kumtia moyo wakati wa magumu.
Hakika hakuna kitu kitamu na kizuri duniani kama mapenzi na ni zawadi kubwa sana.
Ubarikiwe

Ukikoment wazo lako hapo itasaidia zaidi

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Bin bin pyramid

Japan vs costa rica

MANUEL DE LA SUPRÉMATIE BLANCHE