Ozil hajasita kuchagua kati ya mess na Christian ronaldo
Ni kweli kuwa hakuna star wa soka kwenye kizazi cha sasa wenye kiwango kama cha wawili hao ila pamekuwa kila Mara na maneno na ubishani nan mkali kati ya mmoja dhidi ya mwingine.Alivyoukizwa ozil hakusita kumchagua christian ronaldo.
Alisema "kama nikisema nichague nitamchagua ronaldo maana huwa wakwaza mazoezini na wa mwisho kuondoka uwanjani" alisema ozil
Pia aliendelea kusema "Christian ni mtu anayetaka mafanikio sana,hata ashinde anatamani aushinde ushindi mwenyewe,kucheza naye misimu mitatu pale la liga imenifanya kumjua zaidi." Alisema ozil

Maoni