Pogba Aimaliza Leicester City

   Manchester united imeanza msimu mpya wa ligi ya uingereza kwa kuifunga Leicester city bao 2-1 katika mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa nyumban wa Manchester united old traford.
  Man united ndio ya kwanza kupata bao kulitia kwa mchezaji wao Paul pogba kwa njia ya Moira wa adhabu ya penalti baada ya mchezaji wa Leicester city kuunawa Mpita eneo la hatari.
                   Pogba akitikisa wavu kwa mpira
                         Wa penalti.
    Mchezaji mwingine wa Manchester united akiweka kumbukumbu yake tangu atue clubun hapo na kufunga bao la pili ambalo lilies hakim is  mashetan hao wekundu ushindi wa moja kwa moja
Shaw akifunga bao la pili la man u
Huku bao pekee la Leicester city likifungwa na vardy dakika za nyongeza.
Vardy akiifungia timu yake goal dakika za lala salama mechi ikiisha kwa mabao mawili kwa moja 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Bin bin pyramid

Japan vs costa rica

MANUEL DE LA SUPRÉMATIE BLANCHE