Vitu 6 vya kukusaidia kujua kama uliyenaye ni mwanamke sahihi wakuoa.
Linapokuja suala la kuoa ni muhimu zaidi kuamua sahihi maana ni rahisi sana kila jambo kuwa baya kama tutachukua maamuzi mabaya kuoa mwanamke asiye sahihi kwa sababu zisizo za msingi.Sababu hizi za msingi zitakusaidia kujua kama mwanamke ulonae snsfaa kuoa au mpotezeane.... 1:ANAJIVUNIA WEWE. Kama anajivunia wewe na kukuzungumzia anapokuwa na marafiki zake,wafanyakazi wenzake huyu ni mwanamke wakuoa.kama anafikiria we we ni mwanamke bora mwanamke yeyote anaweza kuwa nawe hii itakusaidia kuamua. 2:YUPO POA NA MARAFIKI ZAKO Marafiki wa mwanaume ni sehemu muhimu sana ya ulimwengu wake,mwanaume yeyote anahitaji mwanamke anayejua kuwa marafiki zake ni muhimu kwake pia.Kama anajihusisha sana kujua marafiki zako wanaendeleaje na kupenda kutoka na wewe na marafiki zako hiki kitakusaidia kujua kama ndiye mwanamke wakuoa. 3:ANA MAISHA YAKE Kama anaelewa kuwa sio kila jambo lazima likuhusu wewe na anae...